1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.07.2019 Matangazo ya Asubuhi

7 Julai 2019

Bara la Afrika linatakiwa kukua kwa pamoja. Hilo angalau ndilo lengo la Umoja wa Afrika. Wiki hii Umoja wa Afrika unakutana kwa mkutano wa 12 wa kilele mjini Niamey nchini Niger na Wapiga kura wa Ugiriki wanaonekana wameshajiandaa kukataa kuviunga mkono vyama vya siasa za kizalendo kupitia uchaguzi mkuu utakaofanyika jumapili.

https://p.dw.com/p/3Lg1Y