1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.06.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

10 Juni 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken leo hii anaelekea tena eneo la Mashariki ya Kati kushinikiza mpango wa kusitisha mapigano, lakini hali ya kisiasa huko Israel na ukimya kutoka kwa kundi la Hamas unazusha swali la iwapo ataweza kufaulu.

https://p.dw.com/p/4gqq0