1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.06.2023 Matangazo ya Asubuhi

13 Juni 2023

Shirika la Madaktari wasio na mipaka (MSF) limesema maelfu ya wakimbizi wa Kisudan waliokimbilia nchini Chad kukwepa mapigano wako hatarini kukosa misaada ya kiutu na tiba katika kipindi hiki cha karibu na mvua.

https://p.dw.com/p/4SUkQ