1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.08.2024: Taarifa ya habari ya Asubuhi

V2 / S12S15 Agosti 2024

Ungana nasi hapa kusikiliza taarifa ya habari ya Asubuhi. Miongoni mwa yaliyomo ni : Rais Volodymyr Zelensky asema wanajeshi wake wanaheshimu sheria za kiutu katikati ya mapigano, Mgombea wa urais kupitia chama cha Republican, Donald Trump aikosoa vikali rekodi ya uchumi ya serikali ya Rais Joe Biden na Baraza la uchaguzi la Venezuela lakosoa ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu matokeo ya uchaguzi.

https://p.dw.com/p/4jTl1