Juhudi za uokoaji zaendela katika kisiwa cha Mayotte kilichokumbwa na kimbunga Chido//Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na jeshi la Rwanda wamekidhibiti kijiji cha Matembe katika wilaya ya Lubero, mkoani Kivu kaskazini nchini Kongo// Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimetangaza rasmi kuanza mchaka mchaka wa uchaguzi mkuu huku kikiitaja Disemba 17.