21 Novemba 2016
Matangazo
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ametangaza nia ya kugombea muhula wa nne wa uongozi, Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy abwagwa katika uchaguzi wa mchujo wa chama cha kihafidhina, na idadi ya waliouawa katika ajali mbaya ya treni nchini India imepanda na kufika watu 119.