1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.06.2020 - Taarifa ya Habari za Asubuhi

V2 / S12S26 Juni 2020

Bunge la Marekani limepitisha muswada wa sheria wa mageuzi ya idara za polisi. Wafadhili wa kimataifa wameaahidi msaada wa dola bilioni 1.8 kuisaidia seirkali ya mpito nchini Sudan. Liverpool imenyakua ubingwa wa Premier league baada ya miaka 30.

https://p.dw.com/p/3eMvA