1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

11 Machi 2022

Magazeti ya Ujerumani wiki hii yanazingatia kuhusu nchi za Afrika jinsi zinavyoathirika kutokana na vita vya nchini Ukraine. Msimamo wa nchi za Afrika kuhusu vita vya nchini Ukraine. Kampuni ya madawa ya Marekani, Mordena inakusudia kujenga nchini Kenya kiwanda cha kutengenezea chanjo dhidi ya magonjwa makali ya nchi za joto.

https://p.dw.com/p/48MBk