1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

Zainab Aziz23 Septemba 2022

Mapigano yameanza tena Ethiopia baada ya kusimamishwa kwa muda wa miezi mitano, Mshtuko uliotokea mjini Berlin kwenye nyumba ya maonyesho ya jukwaa la Humboldt, Zimbabwe imetangaza vita dhidi ya tabia ya kuwaoza wasichana wadogo. Hizi ni baadhi ya maudhui zilizoangaziwa na wahariri wa magazeti ya Ujerumani. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4HG9g