Miongoni mwa yaliyoangaziwa kwenye magazeti ya Ujerumani kuhusu Afrika ni machafuko ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, hali ya utulivu inayoanza kuonekana taratibu Libya baada ya kufikiwa makubaliano ya kusimamisha mapigano na mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa kundi la Al Shabaab Somalia.