1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya: Upandikizaji wa figo kwa njia ya kisasa

27 Novemba 2023

Upandikizaji wa figo kwa njia ya kisasa unafanyika pale figo ya mgonjwa inapopatikana na hitilafu, njia hii ya kisasa inajulikana kwa kimombo laparoscopic hand assisted donor nephrectomy unafanyika ikiwa tu mtoaji wa figo na mpokeaji wanavinasaba vinavyoendana. Zaidi tazama video ilioandaliwa na Tatu Yahaya

https://p.dw.com/p/4ZTd7
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Malawi 2015 | Überschwemmungen - Malaria-Test
Picha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliancePicha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliance

Kurunzi Afya

DW Kisuaheli inakuletea vidio maalumu kuhusu masuala ya afya. Kila wiki Dkt. Sizya atakuwa akikuelimisha kuhusu mada muhimu zinazuhusu afya yako.