Katika Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii tunauangazia mkataba wa vyama vitatu ambavyo vimekubaliana kuunda serikali ya muungano ya Ujerumani, kukujuza jinsi bara la Afrika linavyozingatiwa katika serikali ijayo. Makala hii imeandaliwa na Daniel Pelz wa DW na msimulizi wako ni Harrison Mwilima.