1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bomoa bomoa ya Kariobangi ilivyoathiri wakaazi

13 Mei 2020

Bomoa bomoa kwa hakika haijawahi kumuacha mtu salama. Hebu sikiliza vilio vya wakazi hawa wa eneo la Sewage katika mtaa wa Korogocho huko Kenya, katika video hii iliyoandaliwa na Thelma Mwadzaya. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3cBFA