Bujumbura yapata waendeshaji teksi wanawakeTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAmida Issa09.03.20169 Machi 2016Wanawake watatu wamepasi mtihani wa kuwa waendesha teksi mjini Bujumbura, Burundi. Kwavile ni kazi iliyozoweleka kufanywa na wanaume bila shaka wanakabiliana na changamoto kadhaa. Sikiliza zaidihttps://p.dw.com/p/1I9gEMatangazo