You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Shughuli ya kuhesabu kura imeanza nchini Nigeria.
Shughuli ya kuhesabu kura imeanza nchini Nigeria.
Scholz asema Ukraine itahakikishiwa usalama
Kansela Olaf Scholz amehutubia bunge kutoa muelekeo wa serikali yake kuelekea vita vilivyougawa ulimwengu.
Bunge la Israel lajadili muswada tata wa mageuzi ya mahakama
Bunge la Israel limechukua hatua katika uidhinishaji wa mageuzi ya mahakama yaliyo na utata licha ya maandamano ya umma.
Nchi zipi duniani zinaongoza kwa idadi ya wabunge wanawake?
Kulingana na data kutoka IPU, zipo nchi sita ambazo idadi ya wabunge wanawake ni nusu ya wabunge wote.
Bolsonaro apanga kurejea Brazil katika wiki zijazo
Bolsonaro bado anachunguzwa nchini Brazil kufuatia tukio la uvamizi wa majengo ya serikali.
Mkanganyiko kuhusu muswada wa huduma za habari Tanzania
Jukwaa la Wahariri Tanzania lazungumzia mkanganyiko wa kuwasilishwa muswada wa mabadiliko ya sheria ya huduma za habari.
Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote wakwama Tanzania
Muswada huo ulipaswa kuwasilishwa leo kwa hatua zake zote tatu za mchakato wa utungwaji wa sheria.
Biden awarai Warepublican kufanya kazi naye
Rais Joe Biden amewarai Warepublican kufanya kazi naye ili kukamilisha kazi ya kuujenga upya uchumi na kuunganisha nchi.
Biden kutoa hotuba ya hali ya taifa
Biden ataeleza juu ya mitazamo ya umma kuhusu ukomo wa madeni, matumizi ya kijamii, vita vya Urusi nchini Ukraine
Wabunge wa Peru wawasilisha ombi la kumng'oa rais Boluarte
Hatua inayochukuliwa wakati maandamano yaliyochochea kuongezeka kwa gharama za mafuta na chakula yakiendelea.
Bunge la Ujerumani latambua mauaji ya Wayazidi ya mwaka 2014
Bunge la Ujerumani latambua mauaji ya Wayazidi ya mwaka 2014
Rais wa Kazakhstan Kassym-Jomart Tokayev alivunja bunge
Rais wa Kazakhstan Kassym-Jomart Tokayev alivunja bunge
Iran yakosoa mwito wa bunge la Ulaya
Iran yakosoa mwito wa bunge la Ulaya
Wabunge Poland waidhinisha sheria ya kutolewa fedha za EU
Bunge limepiga kura 203 dhidi ya 52 huku wabunge 189 wakijiepusha na kuidhinisha sheria hiyo mpya,
Hatimaye McCarthy achaguliwa spika nchini Marekani
Mwanasiasa wa Republican Kevin McCarthy amechaguliwa kuwa spika mpya wa Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani.
McCarthy ashindwa kupata kura za kuwa spika mpya Marekani
Je, mkwamo huu ni dalili ya kuwepo matatizo ndani ya chama cha Republican?
Bunge Marekani lashindwa kumpata spika kwa siku ya pili
Kevin McCarthy anayetokea California alishindwa katika duru ya nne, ya tano na ya sita ya uchaguzi wa kuwa spika
McCarthy aapa kusalia katika mbio za uspika Marekani
Wajumbe wenye msimamo mkali wa chama chake cha Republican walipinga mara kadhaa jaribio lake la kuchaguliwa kuwa spika
Wabunge Marekani kumchagua spika mpya
Macho yatakuwa kwenye uchaguzi wa spika wa baraza la wawakilishi linaloongozwa na Warepublican walio na wingi mchache
Israel: Benjamin Netanyahu aunda serikali ya mseto
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amempongeza Benjamin Netanyahu kwa kuunda serikali,
Wabunge Marekani wataka Trump ashtakiwe
Trump amepinga mashtaka dhidi yake na kuyataja kuwa njama ya kumzuwia kugombea tena urais.
Tunisia yafanya uchaguzi wa Bunge uliosusiwa na upinzani
Raia wa Tunisia wanapiga kura siku ya Jumamosi kuchagua bunge jipya.
Scholz: Ulaya na Ujerumani zimeungana kuisaidia Ukraine
Scholz ameeleza kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin ameshindwa kutimiza hata moja ya malengo yake katika vita hivyo.
Makamu wa rais wa bunge la Ulaya ashtakiwa kwa rushwa
Makamu wa rais wa bunge la Ulaya ashtakiwa kwa rushwa
Bunge la Peru lamwapisha Rais mpya Dina Boluarte
Bunge la Peru lamwapisha Rais mpya Dina Boluarte
Bunge la Ulaya laitangaza Urusi kuwa taifa la ugaidi
Uamuzi huo, hata hivyo, hauna mashiko ya kisheria na wabunge wanataka serikali zao zichukuwe hatua kama hiyo.
Marekani: Wademocrat kuendelea kudhibiti baraza la seneti
Chama cha Democratic kimeendelea kudhibiti Baraza la Seneti la Marekani baada ya kupata ushindi muhimu jimbo la Nevada.
Bunge la lapinga kujumuishwa makundi ya wenye silaha jeshini
Bunge la lapinga kujumuishwa makundi ya wenye silaha jeshini
Waisraeli wanapiga kura
Waisrael wanapiga kura
Bunge Urusi laidhinisha unyakuzi wa majimbo manne ya Ukraine
Wanajeshi chungunzima wa Urusi wauwawa katika mji wa Lyman katika jimbo la Donetsk
Bunge la Urusi laridhia unyakuzi wa majimbo 4 ya Ukraine
Baraza la juu la Bunge la Urusi laridhia unyakuzi wa majimbo manne ya Ukraine
Italia yapiga kura kuchagua bunge jipya
Kwa mara ya kwanza mwanamke anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Italia.
Mfalme Charles ahutubia bunge baada ya kupokea rambirambi
Mfalme Charles III: Bunge ni chombo hai cha demokrasia ya Uingezera.
Marekani: Liz Cheney ashindwa kwenye kura za mchujo
Liz Cheney amedokeza azma yake ya kugombea urais ifikapo mwaka 2024
IEBC yatangaza matokeo kutoka maeneo bunge 51 kati ya 290
Msimamizi wa IEBC kituo cha Embakasi hajulikani aliko
Waandamanaji walivamia bunge Iraq
Mamia ya wafuasi wa kiongozi wa kidini wa Iraq Moqtada al-Sadr walilivamia bunge Jumatano ambapo walionekana wakiimba na
Nani atakua mrithi wa Johnson Uingereza?
Wagombea wawili wanaowania nafasi ya waziri mkuu wa Uingereza wameanza harakati za kusaka kura.
Japan kuendeleza marekebisho ya katiba
Kishida ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya chama chake kushinda uchaguzi.
Yair Lapid achukua nafasi ya Waziri Mkuu mpya wa Israel
Israel itafanya uchaguzi mpya Novemba 1
Wabunge wa Marekani wakubaliana muswada wa sheria ya bunduki
Marekani imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi ya mara kwa mara ya bunduki na kuibua hofu kuu kwa raia.
Macron afanya mazungumzo na viongozi wa upinzani
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anakutana kwa mazungumzo na viongozi wa vyama vya upinzani baada ya uchaguzi wa Bunge.
Israel kulivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya
Israel kulivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya
Macron akabiliwa na vita vikali vya udhibiti wa bunge
Muungano wa Macron wa Ensemble unakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa muungano mpya NUPES chini ya Melenchon
Mashahidi: Trump alimshinikiza Pence kubatilisha matokeo
Ushahidi ulitolewa unaonesha Donald Trump alimshinikiza makamu wake kubadili matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2020.
Kambi ya rais Macron yatwaa ushindi uchaguzi wa bunge
Wanasiasa wenye kuegemea mrengo wa kushoto wadai kura zao zilipunguzwa
Maoni: Boris Johnson avuka kura ya kutokuwa na imani naye.
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ni mtu mahiri katika kukanganya ukweli japo kwa vipindi vifupi.
Boris Johnson aponea kura ya kutokuwa na imani naye
Ni mapema mno kutabiri kitakachotokea baada ya kura ya leo
Wabunge wamegawika kuhusiana na Johnson
Wabunge wa chama tawala cha Kihafidhina nchini Uingereza wamegawika kuhusiana na iwapo Waziri Mkuu Boris Johnson anastah
Biden ataka silaha za mashambulizi zipigwe marufuku
Rais wa Marekani Joe Biden ametaka juhudi za kudhibiti matumizi ya bunduki zifanyike sasa.
Scholz atetea uamuzi wa kuipatia Ukraine silaha
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amelihutubia bunge la taifa na kutetea uamuzi wa Ujerumani wa kuipatia silaha Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 14
Ukurasa unaofuatia