1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CCM kuwasilisha hoja ya kuongezwa muda Rais Hussein Mwinyi

8 Januari 2024

Chama cha Mapinduzi visiwani Zanzibar kinakusudia kuwasilisha hoja ya mabadiliko ya 13 ya katiba ya Zanzibar inayoweza kufungua njia ya kuongezwa muda wa kukaa madarakani Rais Hussein Mwinyi. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Mohammed amesema wanaanza rasmi mchakato wa kuipeleka hoja hiyo mbele ya sekretariet ya CCM Zanzibar ifikapo Januari 10 ili utaratibu uanze.

https://p.dw.com/p/4az4x