Vigelegele, nderemo na vifijo hutawala sana kwenye moja ya shughuli iinayofahamika kama "40". Ni siku ya 40 ambayo mtoto hutolewa rasmi nje baada ya kuzaliwa. Zawadi kwa mama na mtoto huwa sehemu ya shughuli hiyo inayotambulika kimila na hata kidini. Lilian Mtono anaiangalia mila hii ya 40, kwani yapo maswali kuhsu nini maana ya shughuli hii, na mbona baada ya siku 40 na mengine mengi.