1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Fasihi na sanaa ya barabarani

4 Agosti 2020

Umeshayaona mafumbo na maneno mbalimbali kwenye magari au pikipiki, pamoja na michoro kadhaa. Yote hayo ni sanaa ya aina yake. Kutana na baadhi ya vijana ambao wanaendeleza sanaa hiyo visiwani Zanzibar nchini Tanzania

https://p.dw.com/p/3gOfP