1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ghana yafanya uchaguzi wa rais

7 Desemba 2020

Mojawapo ya mataifa imara kisiasa barani Afrika linapiga kura katika uchaguzi wa rais na bunge. Kivumbi cha urais Ghana ni kati ya Rais Nana Akufo Ado na John Mahama.

https://p.dw.com/p/3mKRi