JamiiUjerumaniHadithi ya Manusura wa mateso ya KinaziTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiUjerumaniSylvia Mwehozi21.07.202221 Julai 2022Philomena Franz ni manusura wa mateso ya Kinazi ambaye alipelekwa kambi ya Auschwitz. Licha ya kupitia mateso na udhalilishaji, anasema kwamba "hawezi kuchukia" waliotenda unyama huo. #KurunziUjerumani inamulika hadithi yake. https://p.dw.com/p/4EUAVMatangazo