Tume ya uchaguzi Kenya IEBC yasema mtandao wake haukudukuliwa. Upinzani nchini Afrika Kusini wataka bunge livunjwe na kufanyike uchaguzi wa mapema. Na mwanasoka wa Mexico Rafael Marquez adaiwa kujihusisha na genge la madawa ya kulevya. Papo kwa Papo 10.08.2017.