You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Picha: DW
Jacob Safari
Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Jacob Safari
Taarifa zilizoonesha na Jacob Safari
Matarajio na changamoto kwa rais mpya wa Iran, Pezeshkian
Masoud Pezeshkian ameahidi kunyoosha mkono wa urafiki kwa wapinzani na mataifa ya Magharibi, Je atafanikiwa kwa kiasi gani katika hili? Abdulfattah Musa mchambuzi wa siasa za Iran anaeleza.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Jacob Safari
Taarifa na Jacob Safari
Wabunge Ujerumani: Mjadala wa kuwarejesha Wasyria ufanyike
Wabunge Ujerumani: Mjadala wa kuwarejesha Wasyria ufanyike
Wabunge waandamizi wa kihafidhina katika bunge la Ujerumani, Bundestag, wamewataka wanadiplomasia mjini Damascus kuzungu
Kipi kitakachofuata baada ya mauaji ya Jenerali wa Urusi Kirillov?
Kipi kitakachofuata baada ya mauaji ya Jenerali wa Urusi Kirillov?
Ukraine imesema imemuuwa afisa mwandamizi katika jeshi la Urusi Jenerali Igor Kirillov, kwa kutumia bomu lililokuwa limetegwa nje ya nyumba moja ya makaazi. Sasa kuuwawa kwa Kirillov ni pigo kwa kiasi gani kwa Urusi? Swali hilo na mengine Jacob Safari amemuuliza mchambuzi wa siasa za kimataifa kutoka mjini Cologne, Ujerumani, ambaye pia alikuwa mhariri mkuu wa DW Mohammed Abdul-Rahman.
Netanyahu afikishwa kizimbani kwa madai ya ufisadi
Netanyahu afikishwa kizimbani kwa madai ya ufisadi
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu Jumanne amesimamishwa kizimbani kuhusiana na madai ya ufisadi.
Je, kuna mpasuko ndani ya Chadema?
Je, kuna mpasuko ndani ya Chadema?
Wakati Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania, CHADEMA kikijiandaa na uchaguzi mkuu wa Taifa wa chama hicho, tayari zimeibuka
Waandamanaji wafunga mipaka Msumbiji
Waandamanaji wafunga mipaka Msumbiji
Nchini Msumbiji hali bado sio shwari, taarifa zinasema waandamanaji wa upinzani wamefunga mipaka kadhaa ukiwemo mpaka wa taifa hilo na Afrika Kusini ikiwa ni muendelezo wa kupinga kile wanachodai kuhujumiwa katika uchaguzi wa Oktoba 9. Vyombo vya ndani Msumbiji vinasema zaidi ya watu 90 wamefariki kutokana na maandamano. Sudi Mnette amezungumza na mwandishi wa habari, Marcos Muledzera.
Mwaka 2024 kuwa mwaka wenye joto zaidi
Mwaka 2024 kuwa mwaka wenye joto zaidi
Shirika la ufuatiliaji wa mabadiliko ya tabianchi la Umoja wa Ulaya, Copernicus, limesema leo kuwa ni hakika mwaka huu u
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo