Urembo ni swala linalotokana na mtazamo wa jamii na inachoamini kuwa kinavutia hisia, hata kama huo si urembo kwa jamii nyingine. Kwenye makala ya utamaduni na sanaa Lilian Mtono anazungumzia namna jamii inavyouchukulia urembo wa kutoboa pua, ama kuwa na matundu mengi masikioni, lakini pia uvaaji wa shanga ama mikufu miguuni, kama vinavyojulikana kwa wengi, vikuku.