Katika makala ya Utamaduni na Sanaa, Saumu Mwasimba anakurejesha nyuma, kuangalia namna jamii za kel hasa barani Afrika zilivyoweza kupambana na majanga na magonjwa ya mlipuko ambayo yalitokea enzi hizo. Je walituimia njia gani za asili kukabiliana na matatizo hayo katika jamii?.