1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Trump alitoa taarifa za siri kwa Urusi?

16 Mei 2017

Ripoti zadai kuwa Rais Donald Trump wa Marekani alitoa habari za siri kwa Urusi, wanajeshi waasi Cote d'Ivoire wakataa mpango wa serikali wa kutatua mgogoro wa mishahara na Rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron akutana na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na kutoa wito wa kujengwa upya Ulaya

https://p.dw.com/p/2d3EX