MichezoUlayaJoshua Kimmich akifunga bao lake la kwanza kwa msimu huuTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMichezoUlayaSudi Mnette24.12.202424 Desemba 2024Joshua Kimmich anaiongoza Bayern Munich kurejea katika njia ya ushindi na hasa baada ya kuichapa RB Leipzig 5-1. Amefunga goli na kutoa asisti katika mechi ya 200 ya klabu hiyo.https://p.dw.com/p/4oYfSMatangazo