1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga na mfumo unaolea uovu

8 Juni 2021

Katika mahojiano ya Kinagaubaga Mohammed Khelef anazungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Haki za Binaadamu na Sheria cha Tanzania Anna Henga kuhusu namna gani mfumo wa nchi au utawala unaweza kuwalea watu ambao baadae wanakuja kubainika waovu, mfano ukiwa wa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akituhumiwa kwa mashtka kadhaa wakati akiwa ofisini.

https://p.dw.com/p/3uaUi