SiasaKiongozi mpya wa ANC aahidi kupambana na rushwaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSudi Mnette21.12.201721 Desemba 2017Kiongozi mpya wa ANC aapa kukabiliana na rushwa, MONUSCO kufunga kambi zake nne mashariki mwa Kongo na Umoja wa Mataifa kuunga mkono azimio la kuikosoa kauli ya Donald Trump ya kuutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.https://p.dw.com/p/2pmAVMatangazo