Watu wanaougua ugonjwa wa kisukari wanapaswa kufunga katika mwezi mtukufu wa Ramadhani au funga yeyote ile ya kidini? Je unajiweka katika hatari gani unapojilazimisha kufunga na hali ya kwamba unaugua ugonjwa wa kisukari? Sikiliza makala hii ya Afya Yako ufahamu yote ya kuzingatia katika hali kama hiyo.