Hiyo ni dhana inayojitokeza pindi mtoto anapozaliwa kwani yule wa kike mara nyingi utamkuta amevalishwa mavazi ya rangi ya pinki na yule wa kiume mavazi ya bluu. Ni rangi gani ya mavazi yanaendana na rangi yako ya ngozi? Na unaweza kuyapangilia vipi mavazi yako kirangi? Jane Nyingi atakufahamisha katika Vijana Mchakamchaka.