Kila Alhamisi, mchezo wa Beer Pong huchezwa na vijana wengi katika baa ya The Dubliner katikati ya mji wa Bonn Ujerumani. Vijana wasiopungua 150 wanakuja ili kushindania zawadi mbalimbali. Tizama video yake Lennart Attenberger aliyejiunga na vijana hao kufahamu zaidi juu ya mchezo huo. Hebu jionee!#kurunziujerumani