SiasaMaisha ya wakaazi wa Johannesburg yanahatarishwa na uchafu wenye sumuTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaGrace Kabogo03.01.20183 Januari 2018 Maisha ya maelfu ya wakaazi wa Soweto, Afrika Kusini yako hatarini kutokana na maji yenye sumu na vumbi. Watu hao wanaishi karibu na eneo lenye rundo la uchafu wenye sumu iliyokusanyika wakati ilipogundulika migodi ya dhahabu katika karne ya 19. https://p.dw.com/p/2qInvMatangazo