SanaaMapambo kutokana na chupa zilizotupwaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSanaaJohn Juma04.04.20184 Aprili 2018Wengine walipomaliza kutumia yaliyokuwemo ndani, walizitupa. Lakini yeye aliamua kuziokota hizo chupa na kuzitia nakshi. Kutana na huyu mwanamke mjasiriamali kutoka Tanzania anayepata riziki yake kwa kutengeneza mapambo kutokana na chupa zilizotupwahttps://p.dw.com/p/2vS9bMatangazo