Waandamanaji Ugiriki wakabaliana na polisi wakati wa hafla ya utiaji saini makubaliano ya kubadili jina la Macedonia. Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia wafanya mashambulizi ya anga, katika uwanja wa ndege wa Hodeidah nchini Yemen. Na Shambulio la pili la kujitoa muhanga lawaua watu 14 huko Afghanistan.