1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 25.09.2022

Sylvia Mwehozi
25 Septemba 2022

Ujerumani yafikia makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu juu ya usambazaji wa gesi //Italia imepiga kura leo kuchagua serikali mpya //Upigaji kura ya maoni katika majimbo yanayotaka kujiunga na Urusi yaendelea leo kwa siku ya tatu.

https://p.dw.com/p/4HJwz