1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SanaaAfrika

Mchango wa Sanaa katika majukwaa ya siasa Afrika

7 Julai 2022

Makala ya Utamaduni na Sanaa inaangazia sanaa katika mapambano ya kudai Uhuru na Demokrasia katika nchi za Kiafrika. Ni changamoto gani wanazopitia wasanii katika suala hili? Saumu Mwasimba karibu. Nahodha wako ni Saumu Mwasimba.

https://p.dw.com/p/4DnvP