Kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara kimewaleta pamoja wanasiasa na wachambuzi wa masuala ya Tanzania kujadili kwa kina iwapo uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika nchini humo mwishoni mwa mwezi Novemba ulikuwa wa huru na haki. Mwongozaji ni Rashid Chilumba.