Uzazi ni jambo zito kwa mwanamke, hata hivyo ulezi unapoanza mapema mambo yanabadilika. Wasichana wanaoishi katika mitaa ya mabanda Kenya wapo hatarini kutumbukia katika hilo kwasababu ya hali za nyumbani. Makala yetu leo inaangazia hilo na msimulizi ni Thelma Mwadzaya.