Mkutano juu ya mafanikio ya wanawake wafanyika Nairobi Kenya27.10.200627 Oktoba 2006Zaidi ya wajumbe 1000 wamefanya mkutano kutathmini mafanikio ya wanawake tangu kufanyika mkutano wa Beijing miaka 11 iliyopita.https://p.dw.com/p/CHmEMatangazoSikiliza ripoti ya Mwai Gikonyo kutoka Nairobi Kenya.