Mlima Oldonyo Lengai, uliopo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kaskazini mwa Tanzania hutumika kwa ajili ya matambiko na maombi kutoka kwa 'mungu' anayeabudiwa katika eneo hilo. Makala ya Utamaduni na Sanaa inauangazia mlima huo pamoja na matambiko au maombi yanayofanywa huko.