JamiiMsanii asiyeona, Mohammed MaroTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii31.10.202231 Oktoba 2022Kutana na Mohammed Maro, msanii kutoka Kilifi Kenya. Licha ya ulemavu wake wa kutoona, anatumia vipaji vyake kujinufaisha na wengine pia. Anaimba, anacheza kinanda na anaweza kuiga sauti za watu mbalimbali. #Kurunzi inamulika vipaji vyake.https://p.dw.com/p/4IsYiMatangazo