Unaweza ukasikiliza wimbo wa "rap" mwanzo hadi mwisho usielewe kinachizungumzwa, lakini wenyewe katika maeneo husika, ambao wanaishi katika utaratibu wa utamaduni huo wanaelewana. Katika kipindi cha Utamaduni na Sanaa, Sudi Mnette anajikita katika tamaduni ndogo ya "Hip Hop" huku akizingatia hasa wasanii katika eneo la Afrika Mashariki.