Katika miaka ya 1960 na 1970 muziki katika sehemu nyingi duniani ulikuwa ukitumika kama chombo cha kuwezesha mageuzi katika jamii, siasa na pia kuleta umoja na mshikamano baina ya watu tofauti.
Tutaangazia hususan muziki wa msanii kutoka Nigeria, marehemu Fela Kuti na Tanzania tutazungumzia muziki wa kizazi kipya wa zamani.