1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nafasi ya maaskari wanawake jeshini

8 Machi 2017

Huku siku ya wanawake ikiadhimishwa duniani, ni fursa nzuri kwa baadhi ya wanawake wanaojiamini na kujiunga na majeshi na polisi kutafakari kuhusu mchango wao katika kuleta amani na usalama duniani.

https://p.dw.com/p/2YotF
Maaskari wanawake
Picha: Getty Images

J2 08.03 2017 Uganda: 39 women soldiers drawn from 17 countries training as UN - MP3-Stereo

Hata hivyo, idadi ya wanawake hao bado ni  ndogo. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel alipata fursa kutembelea kituo cha wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa huko Entebbe, Uganda.