Olaf Scholz ni mwanasiasa wa Ujerumani kutoka chama cha Social Democrati, SPD. Alichaguliwa Kansela mwaka 2021. Awali alihudumu kama waziri wa fedha wa shirikisho na Naibu Kansela chini Angela Merkel mwaka 2018-2021.