1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Saratani ya mfuko wa uzazi

28 Oktoba 2024

Takwimu kutoka Muungano wa Saratani ya Ovari duniani zinaonesha kuwa saratani ya mfuko wa uzazi au Ovari ni tishio kubwa kwa wanawake. Zaidi ya wanawake 900,000 ulimwenguni wamegunduliwa nayo katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Fathiya Omar anaielezea zaidi saratani hii inayoathiri mfuko wa mayai ya uzazi wa mwanamke. #kurunziafya 28.10.2024

https://p.dw.com/p/4mJsp
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Malawi 2015 | Überschwemmungen - Malaria-Test
Picha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliancePicha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliance

Kurunzi Afya

DW Kisuaheli inakuletea vidio maalumu kuhusu masuala ya afya. Kila wiki Dkt. Sizya atakuwa akikuelimisha kuhusu mada muhimu zinazuhusu afya yako.