You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Scotland
Scotland imekuwa sehemu ya Muungano wa Ufalme wa Uingereza na Ireland ya Kaskazini tangu 1707
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Uingereza yatakiwa kuweka bayana msimamo wake juu ya Brexit
Msemaji wa Waziri Mkuu Theresa May amesema wanafanyia kazi mawazo mawili ya ushirikiano baada ya Brexit.
EU wajadiliana kuhusu Brexit na mzozo wa Uingereza na Urusi
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wataweka msingi wa awamu ijayo ya mazungumzo ya Brexit.
Mkutano wa Viongozi wa Umoja wa Ulaya waanza Brussels
Umoja wa Ulaya hautaki kuwepo katika nchi zinazotozwa ushuru.
Umoja wa Ulaya na Uingereza zapiga hatua katika mazungumzo
Pande hizo mbili pia zimekubaliana kuepuka utata wa mpaka kati ya Uingereza na Ireland Kaskazini
Makubaliano ya serikali mpya ya muungano Groko Magazetini
Makubaliano ya serikali mpya ya muungano Groko Magazetini
Umoja wa Ulaya yatambulisha pendekezo la Brexit
Kiongozi mkuu wa mazungumzo kuhusu Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, Michel Barnier, amezindua rasimu ya kwanza ya makubaliano ya kisheria ya umoja huo na Uingereza. Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ameitisha ushirikiano wa karibu zaidi na Umoja wa Ulaya baada ya Brexit, akiweka malengo yake ya makubaliano yatakayoafikiwa kwa majadiliano huru na mipangilio mipya ya utaratibu wa kisheria.
May akutana na Tusk kujadili kuhusu Brexit
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May Alhamisi hii amemualika rais wa Umoja wa Ulaya, Donald Tusk kwa mazungumzo
Rasimu ya makubaliano ya Brexit yafafanuliwa
Rasimu ya makubaliano ya Brexit yafafanuliwa
Viongozi wakuu wa EU wakutana kuelekea Brexit
Wasiwasi wa pengo la bajeti linaloachwa na Uingereza kwenye Umoja wa Ulaya bado ni mkubwa.
Brexit itakavyoathiri lugha Uingereza
Bila shaka umekwishasikia kuhusu mchakato wa Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya, maarufu kama Brexit, Athari za Brexit sio za kiuchumi tu; kama utakavyosikia katika makala hii, zipo pia athari za kijamii na za kitamaduni. Mwangaza wa Ulaya unaangazia jinsi lugha ya Ki-Cornish inayozungumzwa na wachache nchini Uingereza inavyoweza kujikuta pabaya baada ya Brexit.
Waingereza wengi wataka kubakia EU
Watu 1,509 walihojiwa katika utafiti huo wa maoni uliodhaminiwa na gazeti la Independent
Tarehe:16.12.2017-Taarifa ya habari asubuhi
Michezo ya ligi ya Bundesliga kuendelea leo Jumamosi
Tarehe: 16.12.2017-Matangazo ya asubuhi
Tuliyo nayo ni pamoja na : Viongozi wa Umoja wa Ulaya wakubali Uingereza imepiga hatua katika mazungumzo ya Brexit// Ujerumani yaimarisha usalama katika masoko ya Krismasi// Michezo ya ligi ya Bundesliga kuendelea leo.
May kuhimiza viongozi wa EU kupitisha makubaliano ya Brexit
Nasema ni mpango wa haki unaotoa msingi mzuri wa majadiliano ya mahusiano ya baadae
Hakutakuwa na ugumu katika suala la mipaka ya Ireland
Pamoja na mambo mengine walikubaliana kuhusu mipaka ya Ireland na Ireland ya Kaskazini
Hali nchini Yemen na mazungumzo ya Brexit Magazetini
Hali nchini Yemen na mazungumzo ya Brexit Magazetini
Brexit kughubika mkutano wa EU na nchi za Ulaya Mashariki
Angela Merkel anahudhuria kama Kaimu Kansela wa Ujerumani
Mawaziri wa zamani wa jimbo la Catalonia wawekwa kizuizini
Wakili Bekaert asema ameambiwa waranti umeshatolewa dhidi ya Puigdemont na mawaziri wake wanne waliopo naye Ubelgiji.
Viongozi EU waidhinisha mazungumzo ya maandalizi Brexit
Merkel asema ana matumaini ya kufanikisha makubaliano ya mwisho licha ya changamoto.
Mkutano Mkuu wa EU kuisadia Uingereza kuhusu Brexit
Viongozi wakuu wa Umoja wa Ulaya watajadili mustakabali wa kanda hiyo baada ya Brexit.
Presseschau: Maoni ya wahariri wa magazeti ya Ujerumani
Wahariri pia wameandika juu ya sheria za kumiliki silaha nchini Marekani.
May aahidi kufanikisha Brexit
Theresa May aiomba radhi kwa matokeo ya uchaguzi yaliyoidhoofisha serikali yake
Chama tawala Uingereza chakutana huku kikiwa na mgawanyiko
Johnson amejiweka kama anayetaka mtengano ulio safi lakini wenye masharti magumu
Mawaziri Uingereza wafadhaishwa na mchakato wa Brexit
Mawaziri Uingereza wafadhaishwa na mchakato wa Brexit
Theresa May apendekeza kipindi cha mpito baada ya Brexit
Theresa May ataka ubunifu katika kuunda ushirikiano na Ulaya baada ya Brexit
Juncker aeleza matumaini baada ya Brexit
Juncker aonesha matumaini kwa Umoja wa Ulaya
Nini hatma ya raia wa EU Uingereza?
Waingereza walipiga kura ya kile kinachojulikana kama Brexit, yaani kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya. Wasiwasi umetanda miongoni mwa watu wanaotokea nchi za Umoja wa Ulaya. Sheria za Umoja wa Ulaya zinawaruhusu kufanya kazi na kuishi Uingereza. Lakini kama Uingereza itakoma kuwa sehemu ya Umoja wa Ulaya, wafanyakazi kutoka nchi nyingine za Ulaya watafanya nini?
Duru ya pili ya Brexit yaanza
Wasuluhishi kutoka Baraza la Umoja wa Ulaya na Uingereza wamekutana Brussels wakati duru ya pili ya mazungumzo ya BREXIT
16.07.2017: Matangazo ya mchana
Tuliyo nayo ni pamoja na : Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan aapa kuwakata vichwa wasaliti dhidi ya serikali yake// Uingereza yahitaji kipindi cha mpito kuhusiana na Brexit// Watu wanane wafariki dunia baada ya mkanyagano kutokea kwenye uwanja wa michezo mjini Dakar Senegal
EU yajadili Brexit, wakimbizi na ulinzi
Anasema Merkel kuwa "Umoja wa Ulaya uko katika hali ngumu."
Malkia Elizabeth kuwasilisha mpango wa serikali bungeni
Brexit, Ufaransa baada ya uchaguzi na SPD Magazetini
Brexit, Ufaransa baada ya uchaguzi na SPD Magazetini
Mazungumzo ya Brexit yaanza Brussels
Umoja wa Ulaya na Uingereza zimeanza rasmi mazungumzo ya mchakato wa kuwezesha Uingereza kujiondoa.
Mgogoro serikali ya Uingereza kuelekea Brexit
Uingereza inaingia katika majadiliano na Umoja wa Ulaya ikiwa dhaifu zaidi badala ya kuwa imara.
Hoja ya Brexit na matokeo ya uchaguzi Uingereza
Kiongozi wa chama cha Labour nchini Uingereza, Jeremy Corbyn amesema mazungumzo ya Brexit ni lazima yaendelee
May akabiliwa na shinikizo la kujiuzulu
Chama chake cha Conservative huenda kikaunda serikali ya mseto
Wananchi wapiga kura Uingereza
Wananchi wapiga kura Uingereza
Lawama za Trump dhidi ya Ujerumani Magazetini
Lawama za trump dhidi ya Ujerumani Magazetini
May akabiliana na mpinzani wake Corbyn
Chama cha Conservative bado kinasalia usoni kwa mujibu wa utafiti wa maoni ya wapiga kura
Merkel atetea kauli yake kuhusu Marekani, Uingereza
Merkel amesema ilikuwa sahihi kutomumunya maneno kuhusu tofauti za kisera na Marekani.
Mazungumzo ya Brexit kuanza Juni 19
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kumpa Michel Barnier ruhusa ya kuyaanzisha mazungumzo ya Brexit Juni 19.
Umoja wa Ulaya waidhinisha miongozo ya Brexit
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameidhinisha masharti mazito ya talaka kwa Uingereza katika mkutano wa kilele
Umoja wa Ulaya una msimamo wa pamoja kuhusu Brexit
Umoja wa Ulaya utakuwa na mkutano muhimu Jumamosi kuainisha mambo yatakayokuwa katika muongozo wa mazungumzo ya Brexit
Merkel aonya Uingereza haitapata upendeleo maalum Brexit
Kansela Angela Merkel amesema, Uingereza inapaswa kujadili kuhusu Brexit bila kujidanganya itapatiwa makubaliano maalum
Theresa May aitisha uchaguzi wa mapema
Anatarajia uchaguzi wa Juni 8 utampa uungwaji mkono katika mazungumzo ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya.
Rais Steinmeier akosoa Brexit na wazalendo
Steinmeier amesema uamuzi wa Uingereza kujitoa EU haukuwa wa dhamana
Miaka 60 ya Umoja wa Ulaya
Katika kuadhimsha miaka 60 ya kuanzishwa Umoja wa Ulaya viongozi wa nchi 27 zilizobaki katika Umoja wa Ulaya baada ya kujitoa kwa Uingereza wamesaini azimio jipya la umoja lenye kuashiria mwelelekeo wa maendeleo unaotakiwa kufuatwa na nchi mwanachama. Nini hatma ya Umoja huo?
EU yaeleza mipango, mazungumzo ya Brexit
May aliomba kwamba mazungumzo hayo yende sambamba na suala la mustakabali wa uhusiano kati ya pande hizo mbili.
Venezuela na Brexit magazetini
Venezuela na Brexit magazetini
Utata wa Uingereza katika Brexit
Ushirikano wa usalama EU na Uingereza
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 8
Ukurasa unaofuatia