JamiiUjerumaniShamba la wanyama wastaafuTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiUjerumaniSylvia Mwehozi10.02.202210 Februari 2022Katika Kurunzi Ujerumani hii leo tunakuonyesha nyumba ya kwanza ya mifugo iliyostaafu iliyoanzishwa kaskazini mwa Ujerumani. Inawatunza ng'ombe wapatao 38 baada ya kuwaokoa kutoka machinjio. #kurunziujerumanihttps://p.dw.com/p/46o8kMatangazo