Siku ya Wanawake nchini Uganda09.03.20079 Machi 2007Wanawake nchini Uganda pia walisherehekea siku ya kimataifa ya wanawake ambapo rais Museveni amewahutubia wananchi katika uwanja wa Kololo.https://p.dw.com/p/CB5MMwanamke wa Uganda akionyesha mazao aliyopanda yeye mwenyewePicha: Das FotoarchivMatangazoMada kuu katika hotuba yake ilikuwa kuwapa changamoto zaidi wanawake ili kukuza maendeleo ya kiuchumi na kisiasa nchini Uganda. Mwandishi wetu Omar Mutasa kutoka Kampala anaripoti kamili.