UtamaduniSudan Kusini vichekesho vinapotumika kuleta amani, umojaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoUtamaduniSaumu Mwasimba15.03.202315 Machi 2023Kila jamii inamtindo wake wa kuburudika na hata kufurahisha,nchini Sudan Kusini licha ya taifa kukabiliwa na hali tete ya usalama, lakini sanaa ya vichekesho inatumika kupenyeza ujumbe na kuleta amani na utulivu.https://p.dw.com/p/4OhuGMatangazo